Familia ya William H. Shelukindo inapenda kuwataarifu kuwa
mazishi huko Arusha ya Mpendwa wao Beatrice Matumbo Shelukindo Mbunge wa zamani
wa Kilindi sasa yatafanyika siku ya Alhamisi tarehe 7/7/2016 na sio leo
Jumatano tarehe 6/7/2016 kama ilivyotangazwa awali.
Bwana Ametoa Bwana Ametwaa,Jina la Bwana Lihimidiwe.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269