Mkuu
wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Mahenge (mwenye shati jeupe) akiwa
ndani ya Mtumbwi akivuka Mto Ruvuma kutoka kijiji cha Mkenda Songea
kwenda kijiji cha Mitomoni wilaya ya Nyasa, kwenda kutembelea familia za
watu tisa waliofariki dunia kufuatia ajali ya Maji kwenye Mto huo,
walipokuwa wakivuka.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Mahenge akiwafariji wafiwa katika kijiji cha Mitomoni wilaya ya Nyasa.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269