Ustaadh
Ibrahim akianza kwa dua kwenye sherehe ya Eid ilizoandaliwa ma Jumuiya
ya Kiislam DMV (TAMCO) na kuakaribisha Watanzania wote wakiwemo marafiki
zao kwenye sherehe zilizofanyika siku ya Jumatano July 6, 2016 Slver
Spring, Maryland nchini Marekani. Picha na Vijimambo na Kwanza
Production
Ustaadh
Hajji Khamis kutoka New York akitoa mawaidha ya Eid kwenye sherehe ya
Eid ilizoandaliwa ma Jumuiya ya Kiislam DMV (TAMCO) na kuakaribisha
Watanzania wote wakiwemo marafiki zao kwenye sherehe zilizofanyika siku
ya Jumatano July 6, 2016 Slver Spring, Maryland nchini Marekani.
Miss
Tanzania USA Aeesha Kamara akijumuika na Watanzania wenzake kwenye
sherehe ya Eid ilizoandaliwa ma Jumuiya ya Kiislam DMV (TAMCO) na
kuakaribisha Watanzania wote wakiwemo marafiki zao kwenye sherehe
zilizofanyika siku ya Jumatano July 6, 2016 Slver Spring, Maryland
nchini Marekani.
Watanzania
na marafiki zao kutoka majimbo mengine wakijumuika pamoja kwenye
sherehe za Eid ilizoandaliwa ma Jumuiya ya Kiislam DMV (TAMCO) na
kuakaribisha Watanzania wote wakiwemo marafiki zao kwenye sherehe
zilizofanyika siku ya Jumatano July 6, 2016 Slver Spring, Maryland
nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269