Moja ya stori zinazosambaa kupitia mitandao ya kijamii usiku huu wa
August 23 2016 ni pamoja na hii inayodaiwa kuuawa kwa askari polisi
wawili kufuatia tukio la uporaji lililotokea katika bank ya CRDB tawi la
Mbande, Mbagala.
kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro ambaye amesema…>>’Ni
kweli kumetokea tukio la uvamizi hapa mbagala lakini kwa taarifa kamili
ntazitoa kesho kwakuwa bado nipo eneo la tukio kwa ajili ya uchunguzi
zaidi‘
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269