Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Nnauye mara baada ya kuwasili msibani kwa Bi. Shakila, Mbagala Chalambe, Dar es Salaam jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisaini kitabu cha maombelezo ya msiba wa marehemu Shakila Said.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwafariji ndugu wa marehemu Shakila nyumbani kwa marehemu
Mbagala Chalambe.
Sehemu ya waliohudhuria msiba wa Bi. Shakila Said
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akizungumza jambo na Issa Muhidin Michuzi kwenye msiba wa Bi. Shakila.
Swala ya maalum kabla ya kwenda kuzika
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan (katikati) akishiriki dua maalum ya kumuombea Marehemu Shakila
Said ambaye alikuwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa Taarab nchini.
Mwili wa Marehemu ukipelekwa makaburini tayari kwa maziko.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269