Rais Dkt. John
Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Meneja Biashara wa Kampuni ya Stat Oil ya
Norway Oivind Holm Karlsen (watatu) kutoka kushoto mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kutoka kushoto ni Mwakilishi
wa Kampuni hiyo, Bw. Oystein Michelsen. PICHA
NA IKULU
Rais Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Kampuni ya Mafuta ya Stat Oil ya
Norway, Bw. Oystein Michelsen kabla ya kupokea taarifa ya maendeleo ya mradi
mkubwa wa ujenzi wa kiwanda cha kusindika gesi asili (LNG Plant)
kinachotarajiwa kujengwa katika eneo la Likon'go, Mchinga Mkoani Lindi.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269