Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Bibi Rachel Samren Naibu
Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Millicom Group pia Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Zanztel
(katikati) Bw,Mauricio Ramos,Mtendaji Mkuu wa kampuni ya "Millicom Group
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia), akisalimiana na Bw, Mauricio Ramos, Mtendaji
Mkuu wa kampuni ya "Millicom Group"akiwa na ujumbe wake walipofika
Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo Agosti 23, 2016. Kushoto, ni Benoit Janin
Mtendaji Mkuu wa Zanztel. (PICHA NA IKULU, ZANZIBAR)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Bw,Mauricio Ramos,Mtendaji Mkuu
wa kampuni ya "Millicom Group"akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu
Mjini Unguja kwa mazungumzo leo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269