Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakiwapungia wananchi wa kijiji cha Majimoto wilayani Mlele kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo leo |
Ujenzi wa daraja la mto Kavuu wilayani Mlele ambalo Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake leo (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akikagua ujenzi wa daraja la mto Kavuu wilayani Mlele
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269