
Rais John Pombe Magufuli, akimuapisha
Mkuu mpya wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, Ikulu jijini Dar es Salaam,
Agosti 19, 2016. Bw. Gambo ambaye awali alikuwa mkuu wa wilaya ya
Arusha, anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mtangulizi wake,
Felix, Ntibenda Kijiko, ambaye uteuzi wake ulitenguliwa na Rais. (PICHA
NA IKULU)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269