Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro. Saidi Meck Sadiki akiwasili katika shule ya
msingi Mandela iliyopo kata ya Bomabuzi wilaya ya Moshi kwa ajili ya
kupokea msaada wa Madawati yaliyotolewa na Mamlaka ya Maji safi na usafi
wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA).
Wanafunzi katika shule ya Msingi Mandela wakiimba nyimbo wakati wakipokea wageni waliofika katika tukio la kukabidhi madawati.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce
Msiru akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Meck Sadiki
alipowasili katika shule ya msingi Mandela kwa ajili ya kukabidhiwa
Madawati.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Meck Sadiki akiwa na Mkuu wa wilaya ya
Moshi,Kippi Warioba (kushoto) pamoja na Mstahiki Meya wa Manispaa ya
Moshi, Raymond Mboya (kulia) wakati wa makabidhiano ya Madawati kwa ajili
ya shule ya msingi Mandela.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA)
,Joyce Msiru akizungumza wakati wa zoezi la kukabidhi madawati kwa ajili
ya shule ya msing Mandela.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi(MUWSA)
akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro , Saidi Meck Sadiki Madawati kwa
ajili ya shule ya Msingi Mandela iliyopo Manispaa ya Moshi.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro , Saidi Meck Sadiki (katikati) akiwa ameketi
kwenye Dawati na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira
mjini Moshi (MUWSA) Joyce Msiru pamoja na mmoja wa wanafunzi wa shule
ya msingi Mandela.
Wanafunzi
katika shule ya Msingi Mandea wakiwa wameketi katika madawti
yaliyotolewa na Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira mjini
Moshi (MUWSA).
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Meck Sadiki akikabidhi madawati kwa mkuu wa shule ya msingi Mandela ,Pegi Michael.
Na Dixo Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269