Jana
Septemba 04, 2016 ilikuwa siku njema kwa waumini wa Kanisa la EAGT
Lumala Mpya Jijini Mwanza, Bwana Robson Mkesha Baliyanga na Miss Penina
Mkama, baada ya kufunga ndoa takatifu katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya
Jijini Mwanza, chini ya Mchungaji Kiongozi Dkt.Daniel Moses Kulola.
Baada
ya ndoa, Hafla ilifanyika kwenye Ukumbi wa Maendeleo House Jijini
Mwanza, kama picha inavyoonesha maharusi wakiingia Ukumbini.
Na BMG
Maharusi, Bwana Robson Mkesha Baliyanga (kushoto) na Miss Penina Mkama (kulia) wakiingia ukumbini
Mc Joel Maduka, akitoa mwongozo kabla maharusi kuingia ukumbini
Mwenyekiti wa kamati ya harusi (kushoto) akiwakaribisha maharusi
Mchungaji wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya, Dkt.Daniel Kulola, akifungua sherehe kwa maombi
Maharusi wakikata utepete kuingia ukumbini
Maharusi wakilishana keki, ishara ya upendo
Mwanamke heshima
Wasimamizi/Wapambe wa maharusi nao wakilishana keki
Maharusi na wapambe wao
Maharusi wakinyweshana shampeni
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwapongeza maharusi
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwapongeza maharusi
Mwenyekiti wa kamati ya harusi akitoa neno kwa maharusi
Kamati ya harusi
Kamati ya harusi
Wageni waalikwa
Waalikwa
Taswira ukumbini
Bonyeza HAPA Kwa Picha za Kanisani
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269