Rais Dkt. John Magufuli
akimshukuru Balozi wa India hapa nchini Sandeep Arya baada ya kupokea mfano wa
hundi ya Sh. milioni 545, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Msaada huo umetolewa
na Serikali ya India kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea
mkoani Kagera. Kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na kulia ni Katibu Mkuu wa
Mambo ya Nje Balozi Dk. Aziz Mlima
Rais
Dk. John Magufuli, Balozi wa India hapa nchini Sandeep Arya na Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa wakitazama mfano wa hundi hiyo
Rais
Dk. John Magufuli akimshukuru Balozi wa India hapa nchini Sandeep Arya baada ya
kupokea mfano wa hundi yenye thamani ya Sh milioni 545, Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
Dk. John Magufuli akizungumza na Balozi wa India hapa nchini Sandeep Arya baada ya
kupokea mfano wa hundi yenye thamani ya Sh milioni 545, Ikulu jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na kulia ni Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje Balozi Dk. Aziz Mlima
Rais
Dk. John Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mfano wa hundi hiyo .
CHINI:
Rais Dk. John Magufuli akijadiliana jambo na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa baada ya kupokea msaada wa fedha hizo
Your Ad Spot
Sep 27, 2016
Home
Unlabelled
RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA MSAADA WA SH. MILIONI 545 KUTOKA SERIKALI YA INDIA KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI LILILOTOKEA MKOANI KAGERA
RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA MSAADA WA SH. MILIONI 545 KUTOKA SERIKALI YA INDIA KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI LILILOTOKEA MKOANI KAGERA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269