Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipanda kwenye gorofa ya
kwanza katika mojawapo ya mabweni
yanayojengwa na Wakala wa Majengo nchini TBA katika Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam Septemba 6, 2016. Mabweni hayo yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 3840 kwa
wakati mmoja na yatakamilika Desemba mwaka huu 2016. (PICHA NA IKULU)
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baadhi ya maeneo
katika gorofa ya kwanza ya moja ya mabweni hayo katika eneo la Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo kuhusu ujenzi
wa mabweni hayo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo(TBA) Arch. Elius
Mwakalinga, Mabweni hayo yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafuzi zaidi ya 3840.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baadhi ya maeneo
katika gorofa ya kwanza ya moja ya mabweni hayo katika eneo la Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja
na baadhi ya wafanyakazi waojenga mabweni hayo kutoka kwa Wakala wa Majengo
nchini TBA. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda,
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako, Mtendaji Mkuu wa
TBA Arch. Elius Mwakalinga, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Joseph
Nyamhanga, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Hamfrey Polepole.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu
Profesa Joyce Ndalichako wakiangalia kwa furaha maendeleo ya ujenzi wa mabweni
hayo unavyoendelea kwa kasi katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaa.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kukagua ujenzi wa mabweni
katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269