Breaking News

Your Ad Spot

Sep 29, 2016

UDHIBITI MIFUGO KUZURURA MIJINI BADO UNAKABILIWA NA CHANGAMOTO DAR ES SALAAM

Udhibiti wa mifugo inayozurura mitaani mijini bado unakabiliwa na changamoto kutokana na baadhi ya wafugaji kutozingatia sheria za ufugaji mifugo mijini. Pichani, kondoo wakikatiza mbele ya magazri barabarani katika eneo la Ukwamani, Kawe wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam, leo na hivyo kuhatarisha usalama barabarani. (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages