Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Mkuranga, Clement Muya (wa pili kushoto)
akizungumza na wageni na Viongozi Mbalimbali walio jumuika katika hafla
ya Mahafali ya Tatu ya kidato cha nne 2016, Sekondari ya Kizumba iliyopo Kata ya Mwandege Mkoa wa Pwani, Kulia ni Cyprian Kizumba Mkuu wa Shule hiyo na watatu ni Diwani wa Kata hiyo, Adolph Kowelo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mkuu wa Shule hiyo, Mussa Manyange (kulia) akizungumza na Viongozi mbalimbali akiwemo Mgeni Rasmi. Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Mkuranga, Clement Muya (kushoto) kabla yakwenda kuzunguukia miradi iliyopo shuleni hapo,
Mkuu wa Shule, Mussa Manyange (kushoto)
akimuonyesha mradi wa ng'ombe, Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Mkuranga,
Clement Muya, mara alipo tembelea miradi ya shule hiyo akimwakilisha,
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Filberto Sanga, ambapo Mkuu wa shule
alimweleza kutokana na mradi hupata maziwa Lita 20 hadi 25 kwa siku
Wakiangalia Bwawa la Samaki
Migomba ya ndizi ya shule
Bata wa kisasa wanaofugwa shuleni hapo
Mkuu wa Shule, Mussa Manyange (kulia) akizungumza jambo
Mkuu wa Shule, Mussa Manyange (kushoto) akizungumza mara walipotembelea banda la mbuzi
Sehem ya mbogamboga
Shamba la mahindi na mbogamboga
Mkuu wa Shule hiyo,
Cyprian Kizumba (wa pili kushoto) akimuonyesha mgeni rasmi sehem
wanayolima mahindi muda wote kwa kutumia maji ya kumwagilizia kitaalamu
Nyanya
Michungwa
Nguruwe
Moja wa wanafunzi wanaohitimu Napenda John (wa kwanza kushoto) akimwelezea mgeni rasmi jinsi ya kutumia pesa
Godlisten Mndasha (kulia) akielezea Papai linavyo fanya kazi katika mwili wa Binadamu
Wageni waalikwa
Wahitimu katika muonekano
Wahitimu wakiingia kwa ngonjela
Bendi ya Shule hiyo ikiimba wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya kumaliza Kidato cha nne katika mahafali ya tatu
Diwani wa Kata hiyo, Adolph Kowelo (wapili kulia) akisalimia
Mkuu wa Shule hiyo, Cyprian Kizumba Kulia na mkewake Mery Kizumba kushoto wakisalimia wageni waalikwa
Wanafunzi wakiwa katika igizo
Kaimu
Katibu Tawala Wilaya ya Mkuranga, Clement Muya (wa pili kushoto)
akimkabidhi mwanafunzi, Suzan Kasikana (kulia) cheti cha kuhitimu elimu
ya kidato cha nne 2016 wakati wa mahafali ya tatu ya Shule ya Sekondari
ya Kizumba iliyopo Kata ya Mwandege Mkoa wa Pwani . Kushoto ni
Mkurungezi wa Shule hiyo, Cyprian Kizumba. Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo,
Mussa Manyange na Diwani wa Kata hiyo, Adolph Kowelo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269