Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba,Salvador Valdes Mesa kabla ya kuanza mazungumzo yao leo katika hotel ya Hyatt, Kilimajaro Kempiski jijini Dar es Salaam, leo.Kulia ni Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba,Salvador Valdes Mesa kabla ya kuanza mazungumzo yao leo katika hotel ya Hyatt, Kilimajaro Kempiski jijini Dar es Salaam, leo.Kulia ni Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka na Katibu wa SUKI Dk. Pindi Chana
Msemji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba,Salvador Valdes Mesa kabla ya kuanza mazungumzo baina ya Makamu huyo wa Rais wa Cuba na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) leo katika hotel ya Hyatt, Kilimajaro Kempiski jijini Dar es Salaam, leo
Katibu wa NEC SUKI, Dk, Pindi Chana akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba,Salvador Valdes Mesa kabla ya kuanza mazungumzo baina ya Makamu huyo wa Rais wa Cuba na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana leo katika hotel ya Hyatt, Kilimajaro Kempiski jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiingia ukumbini na Makamu wa Rais wa Cuba,Salvador Valdes Mesa kwa ajili ya mazungumzo yao leo katika hotel ya Hyatt, Kilimajaro Kempiski jijini Dar es Salaam, leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa Cuba, Salvador Valdes Mesa , leo jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Ujumbea wake katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Cuba, Salvador Valdes Mesa, baada ya mazungumzo leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika akimshukuru Makamu wa Rais wa Cuba, Salvador Valdes Mesa, baada ya mazungumzo yao, leo jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM, Abdlrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Cuba nchini, Jorge Luis Lopez,baada ya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Nchi hiyo leo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Spika wa Bunge Job Nugai ambaye baadaye alikutana na kuwa na mazungumzo na Makamu huyowa Rais wa Cuba
Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Spika wa Bunge Job Ndugai aliyekuwa akisubiri kuzungumza na Makamu huyo wa Rais wa Cuba
Kaibu wa NEC-SUKI, Dk Pindi Chana akisalimiana na Spika wa Bunge Job Ndugai aliykuwa akisubiri kuzungumzana na Makamu huyo wa Rais wa Cuba
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Augustinde Mahiga wakati akiondoka hotelini baada ya mazungumzoyake na Makamu wa Rais wa Cuba leo. Kushoto ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269