Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wakuu wa Ofisi yake baada ya kuwasili Ofisini kwake mjini Dodoma Oktoba 1, 2016. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi na Ajira, Erick Shitindi, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Uledi Mussa, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera na Uratibu, Dkt. Hamisi Mwinyimvua na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Makao Makuu, Dodoma baada ya kuwasili Ofisini hapo Oktoba 1, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi na Ajira, Eick Shitindi, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu, Dkt. Hamisi Mwinyimvua, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Uledi Mussa , Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Antony Mavunde.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Makao Makuu, Dodoma baada ya kuwasili Ofisini hapo Oktoba 1, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Makao Makuu, Dodoma baada ya kuwasili Ofisini hapo Oktoba 1, 2016.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269