Mkurugenzi
wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Boaz Mikomangwa (kushoto)
akila Kiapo cha Uadilifu kwa viongozi wa umma mbele ya Kamishna wa
Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Jaji Mstaafu
Mhe. Harold Reginald Nsekela leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Boaz Mikomangwa (kushoto) akiweka
saini katika Hati ya Kiapo cha Uadilifu leo jijini Dar es Salaam.
Anayeshuduia kulia ni Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili
ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Mhe. Harold Reginald Nsekela leo
jijini Dar es Salaam.
Kamishna
wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji
Mstaafu Mhe. Harold Reginald Nsekela (kulia) akimkabidhi Hati ya Kiapo cha
Uadilifu kwa viongozi wa umma Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai
(DCI) Robert Boaz Mikomangwa (kushoto).
Kamishna
Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Ally Malewa(kushoto) akila Kiapo cha
Uadilifu mbele ya Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya
Viongozi wa Umma. Jaji Mstaafu Mhe. Harold Reginald Nsekela leo jijini
Dar es Salaam.
Kamishna
Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Ally Malewa (kushoto) akiweka saini katika
Hati ya Kiapo cha Uadilifu kwa viongozi wa umma leo jijini Dar es
Salaam. Anayeshuduia ni Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya
Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Mhe. Harold Reginald Nsekela
leo jijini Dar es Salaam.
Kamishna
wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji
Mstaafu Mhe. Harold Reginald Nsekela (kulia) akimkabidhi Hati ya Kiapo cha
Uadilifu kwa viongozi wa umma Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma
Ally Malewa.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269