Katibu
wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye
pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Prof. Mohamed Janabi akisoma taarifa
ya Taasisi katika kikao cha kwanza cha Bodi hiyo kilichofanyika jana Machi 29, 2017, Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ambaye pia ni
Daktari Bingwa wa upasuaji wa Magonjwa ya Moyo na mishipa ya damu Prof.
William Mahalu.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye
pia ni Daktari Bingwa wa upasuaji wa Magonjwa ya Moyo na mishipa ya damu
Prof. William Mahalu akiongoza kikao cha kwanza cha bodi hiyo
kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia taarifa ya Taasisi hiyo iliyokuwa ikisomwa na Katibu ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Prof. Mohamed Janabi katika kikao cha kwanza cha Bodi kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Picha na Anna Nkinda – JKCI

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269