Mmiliki
wa Ujiji Rahaa Blog, Khamisi Bilali (wa pili kushoto) akishirikiana
kukata Keki ya kuashiria siku ya kuzaliwa kwake na Madaktari wa Chama
Cha Mdaktari wa Kinywa na Meno Mkoani Shinyanga katika Hospitali ya Mkoa
huo wakati walipofika kupata chakula cha mchana leo, wa tatu kushoto
ni Daktari Bingwa wa Kinywa na Meno Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salamu, Conrad Mselle na wakwanza kushoto ni Daktari wa Meno Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera, David Mapunda
Mmiliki wa Blog ya Ujijirahaa, Khamisi Bilali akimlisha keki Daktari Bingwa Hospitali ya Taifa
Muhimbili, Habiba Madjapa (kushoto) haflahiyo iliyofanyika katika Hospitali ya Mkoa Shinyanga leo mara baada ya kupata chakula cha mcha
Daktari Bingwa wa Kinywa na Meno Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salamu, Conrad Mselle (kulia) wakilishana Keki na Mmiliki wa Ujijirahaa Blog katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake Khamisi Bilali Mkoani Shinyanga leo, kushoto anaye shuhudia ni Daktari Bingwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr .Arnold Mtenga
Mmiliki wa Ujijirahaa Blog katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake Khamisi Bilali (kulia) akimlisha Keki, Daktari wa Meno Mkoa wa Shinyanga, Dkt. Nuru Mpuya hafla iliyofanyika Mkoani Shinyanga leo
Mmiliki wa Ujijirahaa Blog katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake Khamisi Bilali (kulia) akimlisha Keki, Rais wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno, Tanzania Dr Lorna CarneiroMkoani Shinyanga leo
siku
ya kuzaliwa tarehe kama yaleo, Machi 13 ndiyo siku ambayo Mungu
alipanga niingie Ulimwenguni hivyo ninazidi kumuomba Mungu maisha mema
na yenye faraja azidi nijalia na yenye mwisho mwema, alisema Bilali,
Dua
nyingi ziwafikie wazazi walionileta Duniani na malezi wakanipa na
kufikia hapa lipofikia na si kwa ujanja wangu zaidi ni Mungu anipe
mwisho mwema na nizidi kuwakumbuka walionileta Duniani Dua ziwafikie
popote walipo japo Baba yangu ametangulia mbele ya haki
Dua
namuombea alisema Bilali, hekima, busara na weledi ninguzo mojawapo ya
maisha na Unapoamka salama basi mshukuru Mungu kwani kuna mamilion ya
watu wamepoteza maisha, wamepata matatizo mbali mbali na kujikuta
wanaamkia wengine hospitali.
Ukishaamka
ili uwe makini na utakachofanya leo jikumbushe yoote uliyofanya jana,
kama kuna mazuri weka ahadi ya kuyaendeleza, na kama yapo uloteleza basi
chukia na kuweka ahadi ya kutoyafanya tena Kwani huwezi kusonga mbele kama hukumbuki ulikotoka
niwatakie mwanzo mwema wa wiki.
niwatakie mwanzo mwema wa wiki.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269