Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo Machi 27, 2017, mara baada ya kupokea Ripoti hizo ya Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad.(PICHA NA IKULU)
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Nakala ya Vitabu
vya Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni, 2016, kutoka kwa
CAG Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad akizungumza kabla ya kuwasilisha
Ripoti hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi pamoja na
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Profesa Mussa Assad mara baada ya kupokea ripoti hizo Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akiwa anapiga makofi pamoja na Katibu Mkuu Ikulu, Alphayo Kidata mara
baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
kupokea Ripoti hizo kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa
Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkaguzi Mkuu
wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad mara baada ya kupokea ripoti
hizo za Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa akiwa na Katibu Mkuu wa Ikulu Alphayo Kidata pamoja na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad wakimsikiliza Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli wakati
akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Ripoti hizo kutoka kwa CAG Ikulu jijini
Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269