Mkuu wa
Jeshi la Polisi Nchini Tanzania (IGP) Ernest Mangu (Kushoto), akiwasili nchini
Rwanda, na kupokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
humo, (IGP) Emmanuel K. Gasana (Kulia) wakati akiwa katika ziara ya
kikazi ya siku moja jana, yenye lengo la kuimarisha mahusiano,
kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika kudhibiti uhalifu na
wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza uchumi baina ya
nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini Tanzania (IGP) Ernest Mangu (kushoto), akiwa na mwenyeji wake Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K. Gasana, wakati akiwa
katika ziara ya kikazi ya siku moja nchini humo jana, yenye lengo la
kuimarisha mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika
kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la
kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda
Mkuu wa
Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu (mbele kushoto) akikizungumza
mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K.
Gasana, pamoja na ujumbe alioongozana nao nchini humo jana, katika ziara
ya kikazi yenye lengo la kuimarisha mahusiano, kushirikiana na
kufanyakazi kwa pamoja katika kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan
maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili
ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu wa
Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu (kushoto), akimsikiliza
mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K.
Gasana, akizungumza mbele ya wajumbe kutoka Tanzania (hawapo pichani)
IGP Mangu, yupo nchini Rwanda, kwa ziara ya siku moja yenye lengo la
kuimarisha mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika
kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la
kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu wa
Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu (kulia), akimsikiliza
mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K.
Gasana, akizungumza mbele ya wajumbe kutoka Tanzania (hawapo pichani)
IGP Mangu, yupo nchini Rwanda, kwa ziara ya siku moja yenye lengo la
kuimarisha mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika
kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la
kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu wa
Jeshi la Polisi Nchini Tanzania (IGP) Ernest Mangu (kushoto), na mwenyeji wake
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K. Gasana,
wakibadilishana hati ya makubaliano yenye mkakati wa kuhakikisha nchi
zote mbili ya Tanzania na Rwanda, zinakuwa salama hususan maeneo ya
mipakani na hata kwenye barabara zote zinazotumiwa na wafanyabiashara,
IGP Mangu, pamoja na ujumbe wake amefanya ziara ya kikazi nchini humo
jana.
Mkuu wa
Jeshi la Polisi Nchini Tanzania (IGP), Ernest Mangu (kushoto), akipokea zawadi
kutoka kwa mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP),
Emmanuel K. Gasana, mara baada ya kuitimisha ziara yake ya kikazi ya
siku moja jana, yenye lengo la kuimarisha mahusiano, kushirikiana na
kufanyakazi kwa pamoja katika kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan
maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili
ya Tanzania na Rwanda. (Picha zote na Demetrius Njimbwi- Jeshi la
Polisi Tanzania)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269