Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Dessalegn kabla ya kupanda ndege na kuondoka jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakijadiliana jambo mara baada ya Rais Dkt. Magufuli kuchangia vikundi mbalimbali vilivyotumbuiza uwanjani wapo wakati wageni mbalimbali wanapowasili kiasi cha Tsh. Milioni 15 kama kuthamini mchango wao wanaoutoa. Pia Waziri Mkuu Majaliwa aliwachangia kiasi cha Tsh. Milioni 5. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

Vikundi mabalimbali vya ngoma pamoja na ushereheshaji vikishangilia wakati Rais Dkt. John Magufuli pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa walipokuwa wakizungumza kuhusu Serikali kuthamini mchango wa vikundi hivyo.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa wakati wakizungumza na washereheshaji pamoja na vikundi mbalimbali vya
ngoma uwanjani hapo (JNIA). Wakwaza
kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269