Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla (Mabodi) alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Samia Suluhu Hassan akifuatana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla (Mabodi) pamoja na Viongozi wengine alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo
Sheikh Sharif Abdulrahman Muhidin akisoma Quran ya Ufunguzi wa Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo
Viongozi mbali mbali akiwemo Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dkt.Amani Abeid Karume (wa pili kushoto) wakiwa katika kisoma Hitma ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kisomo cha Hitma ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo
Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, ambapo Viongozi wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo
Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, ambapo Viongozi wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo
Wake wa Viongozi wakuu wa Kitaifa wakiwa katika kisomo cha Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Alhaj Dk.Ali Mohamned Shein
Your Ad Spot
Apr 7, 2017
Home
Unlabelled
WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI HITMA YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR, HAYATI ABEID AMANI KARUME, LEO
WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI HITMA YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR, HAYATI ABEID AMANI KARUME, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269