Mshambuliaji wa Yanga U20, Samwel Geryson
(kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Tanzania Prisons,
James Mwasote, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa
Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine
jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1,
yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na
Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na
Samwel Geryson katika dakika ya 90. PICHA ZAIDI ZA MTANANGE HUO>/BOFYA HAPA
Your Ad Spot
Jul 30, 2017
Home
Unlabelled
TANZANIA PRISONS YAIGOMEA YANGA U20 NA KUTWAA KOMBE LA MECHI ZA HISANI 2017 UWANJA WA NYUMBANI
TANZANIA PRISONS YAIGOMEA YANGA U20 NA KUTWAA KOMBE LA MECHI ZA HISANI 2017 UWANJA WA NYUMBANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269