Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Roma Mkatoliki na Stamina(Rostam) wakitumbuiza kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoa wa Mara, kwenye tamsha la Fiesta usiku wa kuamkia jana.
|
Fareed Kubanda "Fid q akitumbuiza katika jukwaa la Fiesta katika uwanja wa Karume mkoani Mara. |
Jux akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Musoma Katinka jukwaa la Fiesta |
Mr Blue naye alikuwa katika list ya wasanii walitoa burudani katika jukwaa la Fiesta . |
Nandy akitumbuiza kaaika jukwaa la Fiesta mapema jana katika uwanja wa karume Mkoani Mara. |
Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa(aliyevaa koti la suti) akizindua tamasha la Fiesta, kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoani humo usiku wa kuamkia jana .
|
Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa(aliyevaa koti la suti) akicheza mziki wakati wa uzinduzi wa tamasha la Fiesta, kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoani humo usiku wa kuamkia jana .
|
Msanii wa nyimbo za kitamaduni Saida Karoli, akitumbuiza kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoa wa Mara,kwenye tamsha la Fiesta usiku wa kuamkia jana . |
Msanii wa nyimbo za kitamaduni Saida Karoli, akitumbuiza kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoa wa Mara,kwenye tamsha la Fiesta usiku wa kuamkia jana |
Weusi wakitumbuiza kaaika jukwad la Fiesta |
Chege akilishambulia jukwad la Fiesta usiku wa kuamkia leo mjini Musoma
|
Wakazi wa Musoma mjini na maeneo ya jirani wakifurahia burudani ya tamasha la Fiesta, kwenye uwanja wa Karume mkoani Mara usiku wa kuamkia jana. |
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269