Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo
Januari 28, 2018 ametia saini kitabu cha maombolezo na kutoa
heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani
Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwake Oysterbay Jijini Dar es
Salaam. Mhe. Rais Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli
pia wametoa mkono wa pole kwa mke wa Marehemu Mama Maria Kisanga na
kufanya maombi ya pamoja na familia ya marehemu.
Jaji
Mstaafu Robert Kisanga alifariki dunia tarehe 23 Januari, 2018 katika
hospitali ya Regency Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimfariji mjane wa marehemu Mama Maria Kisanga baada ya kutia saini kitabu cha maombolezo na kisha kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam. |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akitia
saini kitabu cha maombolezo na kisha kutoa heshima za mwisho kwa mwili
wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga
nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam,
Januari 28, 208.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea na mtoto wa marehemu, Amani Kisanga, baada ya kutoa heshima za
mwisho kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe.
Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam, Januari 28, 2018. kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania,
Profesa Ibrahim Hamis Juma na kulia ni Waziri wa Sheria na Katiba
Profesa Palamagamba Kabudi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakifanya maombi pamoja na mjane wa marehemu
Mama Maria Kisanga na mtoto wa marehemu Amani Kisanga na waombolezaji
wengine baada ya kutia saini kitabu cha maombolezo na kisha kutoa
heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani
Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar
es Salaam .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji
Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa
marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam.
Mama
Janeth Magufuli akimfariji mjane wa marehemu Mama Maria Kisanga baada
ya kutia saini kitabu cha maombolezo na kisha kutoa heshima za mwisho
kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert
Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam
Waheshimiwa
Majaji na waombolezaji wengine wakiwa kwenye msiba wa Jaji Mstaafu wa
Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu
Oysterbay Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Mstaafu Joseph sinde Warioba
baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama
ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay
Jijini Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA IKULU)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269