Breaking News

Your Ad Spot

Dec 13, 2009

Baraza la Habari la Kiislam Tanzania, wamtetea JK

MKURUGENZI wa Baraza la Habari la Kiislam Tanzania, Hussein Msopa, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam, jana, kuhusu maandano yaliyoratibiwa na Baraza hilo na baadhi ya Wainjilisti, kulaani baadhi ya wana siasa wanaodaiwa kubeza utendaji kazi wa Rais Jakaya Kikwete. Kuhsoto ni, Mwenyekiti wa Baraza hilo, Zanzibar, Sheikh Salum Khamis. (Na Mpigapicha Wetu).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages