
WAFANYAKAZI na waalikwa wakisakata muziki wakati wa sherehe ya Familia- Familyday ya Wafanyakazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, iliyoshirikisha na mahakama za mwanzo wilayani himo, sherehe hiyo ilifanyika Msasani Beach Club.

WAFANYAKAZI na waalikwa wakisakata muziki wakati wa sherehe ya Familia- Familyday ya Wafanyakazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, iliyoshirikisha na mahakama za mwanzo wilayani himo, sherehe hiyo ilifanyika Msasani Beach Club

WATOTO wa familia za wafanyakazi wamahakama ya wilaya ya Ilala na mahakama za mwanzo wilayani humo, wakishiriki kucheza muziki

MMOJA wa awafanyakazi wa Mahakama ya Ilala, Kawiza Khalid akimsukuma katika boksi mtoto wake Rahim Khalid (1), kumfurahisha wakati wa sherehe za Family day, za Mahakama ya Ilala, iliyofanyika Msasani Beach Club

MMOJA wa watoto waliohudhuria sherehe akicheza mpira kwenye viwanja vya Msasani Club.

WATOTO wa wafanyakazi walioshiriki katika sherehe ya Wanafamilia (Family Day) wa Mahakama aya Ilala, Dar es Salaam, Anderson John (7) na Mathias Ndegeti wakipambana kuwania mpira, kwenye viwanaja vya Klab hiyo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269