
RAIS Jakaya Kikwete akipokea kifimbo cha Malikia Elizabeth wa Uingereza, kutoka kwa mwanariadha Mary Naali, Ikulu, Dar es Salaam, leo

WATOTO wenye asili ya kiasia wakitumbuiza kwa kucheza muziki wemnye asili ya Kihindi wakati wa mapokezi ya kifimbo cha Malikia Elizabeth wa Uingereza, leo

BAADHI ya Mabalozi waliohudhuria hafla hiyo leo

WADAU wa mchezo wa risha nchini wakiwa katikapicha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete.

WADAU na riadha na waratibu wa ujio wa kifimbo hicho wakiwa katikapicha ya pamoja na Rais jakaya Kikwete, Ikulu, Dar es Salaam,

BAADHI ya vijana waliojitolea kukimbiza kifimbo hicho wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete leo.

WAWAKILISHI wa baadhi ya kampuni wadhamini wa ujio wa kifimbohicho wakiwa Ikulu, Dar es Salaam, wakati wa hafla hiyo leo.