Rais Jakaya Kikwete, leo Desemba 21, mwaka 2009, ametimiza miaka minne kamili, tanfu alipoingia Ikulu ya Tanhzania, baada ya uchaguzi mkuu uliompatia kura nyingi mwaka 2005. zifuatazo ni baadhi ya picha za matukio aliyohusiuka akiwa Rais wetu mpendwa.
Mkuu wa chuo kikuu cha kinyetta harris mule akimtunuku rais jakaya shahada heshima ya udaktari katika mahafali ya 25 ya chuo hicho 2008 Kikwete akisalimia wananchi baada ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2005
RAIS Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, akihutubia wananchi kwenye viwanja vya Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, baada ya matokeo ya uchaguzi wa Rais kutangazwa huku akiibuka mshindi kwa zaeidi ya asilimia 80
Kikwete akiwa na aliyekuwa mgombea mwenza wake, Makamu wa Rais, Dk. Ali Mohammed Shein katika kwenye Ofisi Ndogo ya Makao makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba walikokaribishwa baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu.RAIS Jakaya Kikwete akiwa na aliyekuwa mbombea mwenza wake, Makjamu wa R$ais Dk. Ali Mohamed Sheni.RAIS Kikwete, Mwenyekitii wa Umoja wa Afrika ( AU) akizungumza na watumishi wa umoja huo, makao makuu mjini Addis Ababa Ethiopia, kuhsoto Menyekiti kamisheni ya AU, Jea Ping. mwaka 2008.RAIS Jakaya Kikwete na watoto maalbino baada ya kupokea maandamano kulaani mauaji dhidi yao 2008 Rais Kikwete kisalimiana na watoto wa shule nchini Cuba alipokuwa katika zuara ya kikazi nchini humo mwaka huu wa 2009.Rais Kikwete akisoma ujumbe wa Rais wa Congo, uliowasilishwa Ikulu, Dar es Salaam, 2009.
Rais Kikwete akiwa amembeba mtoto Sarah Saidi (5) katika kijiji cha Kiroka mkoani Morogoro alipofanya ziara kijijini humo mwaka 2008, hii inadhihirisha kuwa Kikwete ni kipenzi pia cha watoto
rais jakaya akizungumza na bill gates ambaye ni mmoja matajiri wakubwa duniani na mmiliki wa bill and gates foundation 2008 rais jakaya akigonganisha glasi na rais wa china hu jintao walipokuwa ikulu da 2009
rais jakaya akihutubia kitongoji cha nshamba waliojipanga barabarani kumpokea wilayani muleba mkoa wa kagera 2008 rais jakaya akimsalimia mtoo catherine paul aliyelazwa hosp ya MOI baada ya kapasuliwa moyo 2008rais jakaya akisalimiana na rais wa marekani barick obama mjini marekani 2009Rais jakaya akizungumza spika wa bunge samweli sitta kulia akiwa jaji mkuu agustino ramadhani 8,2,009 Rais jkaya akiteta na kijana ktoka kijiji imalamihayo mjini tabora 2008
Rais Jakaya Kikwete akiwa rais mstaafu ali hassan mwinyi akiwa rais wa ANC jocob zuma katika chakula cha usiku 2008
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269