Breaking News

Your Ad Spot

Dec 19, 2009

MWANADADA MAHAKAMANI KWA KUMJERUHI MTOTO WA KAMBO DAR

Hadija Yahya (23), mkazi wa Kimara King'ong'o, Dar es Salaam, akiwa katika mahakama ya Kinondoni, Dar es Salaam, kujibu shitaka la kumjeruhi mtoto wa kambo wa kike mwenye umri wa miaka 10.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages