Breaking News

Your Ad Spot

Dec 19, 2009

JB MPIANA NA TSHALAMWANHA WATIKISHAA DAR



Mwanamuziki mahiri wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongongo, anayefanya kazi za muziki nchini Ufaransa JB Mpiana akiwajibika vyema jukwaani kwenye onesho la Embassy Club E lililofanyika Ubungo Plaza, Dar es Salaam, Ijumaa usiku.
Mwanamuziki toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongongo, Tshala Muanaakifanya vitu vyake jukwaani kwenye onesho la Embassy Club E lililofanyika Ubungo Plaza Ijumaa usiku.


Baadhi ya wanachama wa Embassy Club E na wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini shoo ya wanamuziki toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongongo, Tshala Muana na JB Mpaina kwenye onesho lililofanyika mahsusi kwa wateja wa sigara hiyo Ubungo Plaza

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages