
WATU wakishangaa gari lenye namba T478 AYS kuacha njia na kwenda kunasa kwenye mtu ulioliokoa kupinduka, eneo la Magomeni kwa Macheni, Dar es Salaam leo

LICHA ya kwamba leoni Jumapili siku ambayo ni ya mapumziko, wengi wanalazimika kuendekeza libeneke kwa kufanya kazi ili kupata riziki, kama hawa waliokuwa wakisafirisha ndizi kwenda mjini katika badabara ya Morogoro, Dar es salaam.

LEO Diwani wa Kata ya Magomeni Dar es Salaam, Julian Bujugo aliitisha wazee wote wa Kata hiyo na kuzungumza nao kwenye ukumbi wa shule na sekondari Magomeni na baadaye kulanaye chakula naye Lunch. Pichani ni baadhi ya wazee hao ambao walikadiriwa kuwa zaidi ya 60.
================================================
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete