Breaking News

Your Ad Spot

Jan 21, 2010

KAKA WA MAREHEMU AMBAYE MWILI WAKE ULIKUWA NA UTATA, AFARIKI BAADA YA KUANGUKA MAHAKAMNI LEO




CALIST Kileo, kaka wa marehemu Mary Kileo ambaye mwili wake ulikuwa katika mgogoro wa kifamilia, akisaidiwa baada ya kuanguka ghafla na kupoteza fahamu mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam, leo. Kileo alifariki baadaye alipofikishwa hospitali ya Kinondoni (Kwa Dk. Mvungi), Dar es Salaam, muda mfupi baada ya kuanguka (Picha kwa hisani ya Mdau wa Chachandy Daily aliyeshuhudia sekeseke hilo mwanzo-mwisho.


Akiinuliwa na wasamalia wema waliokuwa eneolamahakama hiyo.
 Akiingizwa katika gari kupelekwa harakakatikahospitali ya Kinondini ambako baafaye alifariki dunia.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages