Breaking News

Your Ad Spot

Jan 23, 2010

LIGI KUU YA VODA.; SIMBA YAIRARUA 3-1 PRISONS


MCHEZAJI David Mwantika (kushoto) wa Prisons ya Mbeya akipambana na Salim Aziz wa Simba, timu hizo zilipomenyana jana kwnye Uwanja wa Uhuru, Dar es salaam, mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom. Simba ilibuka na ushindi wa mabao 3-1. .

MCHEZAJI Henry Mwalugala (kushoto) wa Prisons ya Mbeya akipambana na Salim Aziz wa Simba, timu hizo zilipomenyana jana kweye Uwanja wa Uhuru, Dar es salaam, mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom. Simba ilibuka na ushindi wa mabao 3-1.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages