Breaking News

Your Ad Spot

Jan 23, 2010

SEMINA YA CARE INTERNATIONAL YA 'ONGEZA AKIBA' YAMALIZIKA BAGAMOYO

MKUU wa wilaya ya Bagamoyo, Stanslaus Magesa akifunga mafunzo ya siku saba ya viongozi wa vikundi vya akiba na mikopo kutoka kata mbalimbali za Bagamoyo, jana wilanai humo, mkoa wa Pwani. Kulia ni Ofisa wa Mradi wa'Ongeza akiba' huo kutoka Care International iliyoratibu mafunzo hayo,Fatma Muzo na kushoto ni aliyekuwa Mwenyekiti wa mafunzo hayo, Tumainiel Kisanga


WAHITIMU wa warsha hiyo wakimpashia mgeni rasmi kwamtindo wa aina yake.
BAADHI ya washiriki wakiendelea pia na malezi.






.
.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages