Breaking News

Your Ad Spot

Feb 11, 2010

HUKUMU RUFANI YA BABU SEYA YASOMWA LEO; WANAYE WAWILI NJE, YEYE NA PAPII KUENDELEA KUSOTA JELA

BABU SEYA (Kuednelea kutumikia kifungo cha maisha jela).
PAPII Kocha 'Mtoto wa Mfalme' kuendelea kutumikia kifungo cha maisha jela
Nguza Mbangu huru
Francis Nguza huru.



WAKILI Mabere Marando akiwafafanulia hukumu baada ya kutolewa katika mahakama kuu leo
BABU Seya na wanawe wakisubiri hukumu ya rufani yao katika mahakama ya rufani leo.
Nguza Mbangu akimtulia mdogo wake , Francis Nguza (kushoto) akilia baada ya wao kuachiwa huru na mahakama   kuu leo

BABU seya na mwanaye Papii Kocha

MMOJA wa watu wa karibu na familia ya babu seya akilia
MMOJA wa watu wa karibu na familia ya babu seya akilia

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages