Breaking News

Your Ad Spot

Feb 11, 2010

JK AWATEUA JANETH, JUSSA KUWA WABUNGE

JANETH MBENE                            ISMAIL JUSSA
RAIS Jakaya Kikwete amewateua Mjumbe wa Bodi ya Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Janeth Mbene (CCM) na Kiongozi wa CUF, Ismail Jussa kuwa Wabunge wa Tanzania.

     Uteuzi huo wa Rais uliutangazwa jana na Spika wa Bunge SamwelSitta, baada ya kuhitimisha rasmimjadala wa zabuni tata baina ya Tenesco na kampuni ya Richmond Development (LLC).
    Wabunge hao wanahitimisha nafasi 10 alizo nazo Raiskikatiba, zinazompafursa kuteua wabunge kwa kuwa alikwisha teua wanane. Wengine waliokwisha teuliwa ni Katibu Mkuu wa CCM Yussuf Makamaba, Thomas Mwang'onga, Hadijka Salehe Ngozi, Zakia Maghji na Al-Shaymaa Kwegyir.
    Wengine ni Mohammed Aboud Mohammed, Sophia Simba na Kingunge Ngombale Mwiru.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages