Breaking News

Your Ad Spot

Feb 3, 2010

OFISI HII BADO INAFANYA KAZI?

 MEE wa Chachandu-Daily, nimekutumia picha hii uirushe ili kama itawezeshakana wahusika watoe ufafanuzi au mwenye uwafuate wakupetie ufafanuzi utupatie wadau wako. Nafahamu kwamba, Idara aya Kabidhi Wasii Mkuu wa Serikali, sasa haipo na Taasisi inayofanya shughuli za mambo ya miradhi, wosia na vyeti vya kuzaliwa  na vifo nasikia wanaitwa RITA. Sasa kwa ni Mzee ninachostaajabu pamoja na wadau kibao ni kwamba hadi leo bango linaloonyesha kuwepo kwa Ofisi ya Idara ya Kabidhi Wasii Mkuu,kwenye ofisi ilele tulipokuwa tukipata huduma za mambo niliyotaja hapo juu, pale mitaa ya Bilicanas, sasa hii inatuchanganya, kwa nini haliondolewi?

=============
Ebwana eee, na mimi nimewahi kuliona, hilo bango, ni kweli badi lipo pale, na ninashangaa kwa nini bado lipo kama huduma hakuna!. Nitawatafuta awakinipa jibu nitakujulisha hapa hapa kwenye Chanchandu yetu
Nkoromo-Chachandu-Daily.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages