Gari la kampuni COCA COLA ya jijini mwanza lenye nambari za usajili T.269 AFC Ikiwa imeanguka na shehena ya Soda katikati ya mji wa Geita,hata hivyo polisi waliwahi kufika katika eneo la tukio na hivyo kudhibiti mpango wa wananchi wa kujigawia soda zilizokuwa ndani ya gari hilo.
Your Ad Spot
Mar 6, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269