Breaking News

Your Ad Spot

Mar 8, 2010

Dk SALMIN AFANYA MAULID MAALUM NYUMBANI KWAKE

MAKAMU wa Rais Dk. Ali Mohamed Sheni, Rais  mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Salmin Amour, Waziri Kiongozi wa Zanzibar,Shamsi Vuai Nahodha na Waziri Kiongozi mstaafu wa Zanzibar,Dk. Mohammed
Gharib Bilal, wakisoma dua wakati wa Maulid maalum ilioyoandaliwa na Dk. Salmin Amour, nyumbani kwake katika kijiji cha Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar jana.(Picha na Amour Nassor).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages