Breaking News

Your Ad Spot

Mar 4, 2010

DK SHENI AZINDUA MKUTANO WA MAZINGIRA MJINI ARUSHA

Makamu wa Rais Dk. Ali  Mohamed  Sheni akifungua mkutano wa siku mbili wa viongozi na Mawaziri wa Mazingira wa Nchi za Bara la Afrika ulioambatana na Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Afrika katika Kituo cha  Mikutano cha Kimataifa (ICC) mjini Arusha, jana.
Makamau wa Rais akiangalia vitabu vya aina mbalimbali  kuhusu mazingira kwenye baada ya kufungua mkutano huo Makamua wa Rais akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Arusha na mawaziri wa mazingira Afrika, baada ya kufungua mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages