Breaking News

Your Ad Spot

Mar 4, 2010

RAIS KIKWETE AHAMA KITUO CHA KUPIGIA KURA, AJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA MSOGA

RAIS Jakaya Kikwete akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapigakura kwenye kituo kipya cha kupiga kura kijijini kwake Msoga, Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani. Kushoto ni Msimamizi wa kituo hicho, Diana Frederick. Kituo cha zamani cha Rais Kikwete kilikuwa Bwilingi, Kata ya Chalinze, wilayani Bagamoyo.MSIMAMIZI wa uandikishwaji daftari la kudumu la wapigakura , Msoga  Diana Frederick akiwapa vitambulisho vipya vya kupiga kura, Rais Kikwete na Mama Salma baada ya kujiandikisha kwenye daftari leo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages