Breaking News

Your Ad Spot

Mar 3, 2010

MASHINDANO YA KOMBE LA NSSF VIPI?

Kamanda hao NSSF wametoa vifaa kwa timu ngapi? maana nasikia kuna baadhi ya timu zimejitoa kutokana na kurfanyiwa mizengwe na waandaaji hao.

Bro wako wa Kitaa mdau wa Blogu hii ya Jamii- Sinza Dar es Salaam.

========

Kamanda ukweli sijajua ni timu ngapi zimepatiwa vifaa hivyo ila kwa mbaali nilishapata udaku kwamba timu moja ambayo ilikuwa bingwa mwaka jana, imefanyiwa ndivyo sivyo na huenda ikajitoa.
Lakini subiri nitakupatia mapemaaa majibu ya hoja na haja zako.

Kamanda.
==================
Kamanda, habari zilizotua  bloguni hapa, zimethibitisha kuwa zilikuwa zishiriki timu 17 katika michuano hiyo, lakini sasa zimebaki 16 baada ya timu za netiboli na soka za Uhuru FC kujitoa baada ya kudai kufanyiwa hovyo na waandaaji.
  Kwa mujibu wa habari hizo. Uhuru wamejitoa baada ya makiziwa wachezaji  sita tu katika Netiboli na  kumi wa soka!
Habari ndiyo hiyo
 Kamanda

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages