MWENYEKITI wa Shirikisho la sekta Binafsi la kupambana na Ukimwi Barani Africa (Pan Africa Business Coalition-PABC), Richard Kasesela (kulia) na Ofisa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Lilian Mukasa (wa pili kulia) ni miongoni wa wahitimu 117 ambao leo wameketi mbele ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, kutunukiwa vyeti katika mahafali ya 15 ya Chuo cha Diplomasia, kilichopo Barabara ya Kilwa mjini Dar es Salaam. Kasesela na Da Lily, wamehitimu Stashahada ya Uzamili katika Diplomasia ya Uchumi. 
Hawa pia ni miongoni mwa wahitimu waliojipatia Nondozzzzzi katika mahafali hayo.
This is good thanks
ReplyDeleteRichard