Breaking News

Your Ad Spot

Mar 30, 2010

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ZIARANI VIETNAM

PINDA akimtambulisha, Waziri wa Kilimo na Chakula , Stephen Wasira pamoja na wajumbe wa msafara wake kwa Waziri Mkuu wa Vietnam, Nguyen Tan Dung wakati wa mapokezi hayo. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Seif Iddi. WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, akikagua gwaride. WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Vietnam, Nguyen Tan Dung, wakipokea heshima kutoka kwa kamanda wa gwaride maalumu la mapokezi yake, Ikulu ya nchi hiyo mjini Honoi kuanza ziara ya kikazi nchini humo. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu).WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, akipokea zawadi ya maua alipowasili katika viwanja vya Ikulu ya Hanoi, nchini Vietnam, jana kuanza ziara ya kikazi nchini humo. Kulia ni mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Vietnam, Nguyen Tan Dung.



1 comment:

  1. Your way of telling all in this article is actually good, all can
    without difficulty be aware of it, Thanks a lot.
    Here is my weblog ; vietnam airlines

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages