.

MAXIMO ATANGAZA KIKOSI KITAKACHOIVAA RWANDA

Apr 21, 2010

Kocha mkuu wa timu ya Taifam Taifa Stars Marcio Maximo akitangaza kikosi hicho. Kulia ni Ofisa habari wa TFF, Florian Kaijage.Maximo akitangaza majina ya wachezaji watakaokabiliana na timu ya RwandaMaximo akifuatana na baadhi ya waandishi wa habari baada ya kutangaza wachezaji hao leo

MAKIPA
Shabani Kado wa Mtibwa Sugar na Jackson Chove wa JKT Ruvu

MABEKI
Shadrack Nsajigwa-Yanga
Salum Kanoni-Simba
Juma Jabu-Simba
Stephano Mwasika-Moro United

MABEKI WA KATI
Nadir Haroub (Canavaro)-Yanga
Kevin Yondan-Simba
Aggrey Morris-Azam
David Naftal-Simba
Dickson Daudi-Mtibwa Sugar

VIUNGO
Erasto Nyoni-Azam
Nurdin Bakari-Yanga
Jabir Aziz-Simba
Ibrahim Mwaipopo-Azam
Kigi Makasi-Yanga
Shabani Nditi-Mtibwa
Abdi Kassim-Yanga
Uhuru Selemani-Simba
Selemani Kassim-Azam

WASHAMBULIAJI
Mrisho Ngassa-Yanga
John Bocco-Azam
Mussa Mgosi-Simba
Jersin Tegete-Yanga
Michael Mgimwa-Moro United
Yussuf Abnas Soka- African Lyon
Joan Kajuna- African Lyon

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช