Breaking News

Your Ad Spot

May 7, 2010

MICHUANO YA KILI TAIFA CUP KITUO CHA IRINGA YAIVA, KUANZA KURINDIMA KESHO SAMBAMBA NA VITUO NVINGBINE VITANO

TBL YAKABIDHI VIFAA KWA TIMU ZA KITUO CHA IRINGA
MEYA wa  Manispaa ya  Iringa Amani Mwamwindi akimkabidhi jezi kiongozi wa timu ya  Rukwa (Ze Pinda Boyz) , lisebius Mbinda  (kulia) wakati Kampuni ya Bia Tanzania TBL ilipotoa vifaa  mbalimbali vya michezo kwa timu tatu zilizokuwa hazijapewa, zinazoshiriki michuano ya Kili  Taifa Cup kituo  E cha Iringa.  timu nyingien zilizopata katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Iringa, ni  Mapinduzi Stars ya Mbeya na Ruaha Stars ya Iringa. Kushoto ni msimamizi wa kituo E, Eliud Mvera.   Mwamwindi akikabidhi vifaa kama hivyo kwa kiongozi  wa timu ya Iringa, Abu Chagawa katika hafla hiyo.Mwamwindi akikabidhi jezi kwa kiongozi wa timu ya Mbeya, Joel  Kasbela.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages