Breaking News

Your Ad Spot

Aug 12, 2010

KARUME AVUNJA BARAZA LA MAWAZIRI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid 
Karume,akikagua Gwaride Rasmi lililoandaliwa kwa Ajili ya  Ufungaji wa Kikao cha 
mkutano wa 21 wa Baraza la Wawakilishi ,huko Chukwani Nje kidogo ya  Mji wa 
Zanzibar 
Viongozi wa Waalikwa katika Mktano wa 21,wa kulivunja Baraza la Wawakilishi 
uliofanyika jana katika ukumbi wa Baraza hilo liliuoppo Chukwani Nje ya Mji wa 
Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages